Rais Magufuli amefanya
mabadiliko Taasisi ya TAKUKURU na
kutengua uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi hiyo,
Dk. Edward Hoseah ambapo kamteua aliyekuwa
Naibu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo, Valentino
Mlowola kukaimu nafasi hiyo.
Taarifa kutoka Ikulu hii hapa ambapo ametangaza pia
kuwasimamisha kazi watumishi wawili ambao walisafiri nje ya nchi kinyume na
maagizo yake.
0 comments:
Post a Comment