Tuesday, 15 December 2015

on Leave a Comment

Majaliwa Aitisha kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na  Mawaziri na Naibu Mawaziri  katika kikao cha kwanza cha kazi cha Baraza la Mawaziri alichokiitisha  Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

0 comments:

Post a Comment